Thursday, June 21, 2012

MADEREVA WA DALADALA MOSHI WALIVYOGOMA KUSAFIRISHA ABIRIA


 BAADHI ya madereva, makondakta na wapiga debe wakizuia gari la polisi lililofika eneo la Manyema kutaka kujua kwani ni madereva hao wamegoma, mgomo huo ulidumu kwa saa nane.PICHA KWA HISANI YA SALOME KITOMARI

No comments:

Post a Comment