Meneja wa United Bank for Africa
tawi la Kariakoo,Victor Mtondane akiwapa nasaha watoto wanaolelewa katika kituo
cha New Hope Family kilichopo Kigamboni wakati wafanyakazi wa benki hiyo
walipokwenda kutoa misaada ya vyakula.vyenye thamani ya shilingi milioni 2
No comments:
Post a Comment