Wednesday, June 13, 2012

WAFANYABIASHARA WADOGO WADOGO WATIMULIWA TEGETA

Gari la Kikosi cha Kutuliza Ghasia maarufu kwa kumwaga maji ya kuwasha likiwa limeegeshwa kando ya barabara eneo la Tegeta kwa Ndevu sehemu ambayo hutumiwa na wafanyabiashara ndogondogo kufanya shughuli zao.

No comments:

Post a Comment