Mkuu wa Mawasiliano na Uhusiano wa Vodacom
Tanzania, Joseline Kamuhanda akikabidhi simu ya mkononi aina ya Blackberry na
moderm kwa Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania
(TanTrade), Samuel Mvingira jijini Dar es Salaam jana, baada ya Vodacom
kutangaza udhamini maalum katika sekta ya mawasiliano wakati wa Maonyesho ya 36
ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam. Vodacom Tanzania itaendesha matangazo na
vyombo vya habari kabla na baada ya maonyesho hayo yanayotarajiwa kuanza Juni
28 na kufungwa Julai 8.2012. PICHA: JOHN BADI
No comments:
Post a Comment