Rais wa serikali ya wanafunzi wa chuo cha uandishi wa habari
Morogoro
(MSJ) Jackson Monila (Mwenye sharti nyeupe kulia na Mkurugenzi wa kituo
cha watoto yatima cha Dayspring Academy, Edith Ndemanisho mwenye miwani)
wakiwa katika picha ya pamoja ya baadhi ya waandishi wa habari na
watoto yatima mara baada ya serikali ya wanafunzi hao wa chuo cha habari
Morogoro kukabidhi msaada wa msaada wa vifaa
mbalimbali katika kituo hicho kilichopo kata ya Mbuyuni Manispaa ya
Morogor Picha kwa hisani ya blog Juma Mtanda
No comments:
Post a Comment