Wednesday, May 2, 2012

Hili ni Jengo litakalotumiwa na Tume ya Kukusanya maoni ya Katiba Mpya


Jengo hili ndilo litakalotumiwa na Tume ya kukusanya maoni ya wananchi kuhusu utungwaji wa Katiba Mpya ambalo wamekabidhiwa leo jijini Dar es Salaam, lipo katika mtaa wa Ohio karibu na Serena Hotel

No comments:

Post a Comment