Saturday, May 5, 2012

MAMA SALMA KIKWETE ACHEZA SINDIMBA

Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akijumuika kucheza ngoma ya sindimba iliyokuwa ikichezwa na akinamama wakati wa sherehe ya uzinduzi wa Uresco saccos huko Mikocheni A jijini Dar es Salaa. Picha na John Lukuwi

No comments:

Post a Comment