Mwenyekiti wa zamani wa Shirika la Usafiri la UDA, Iddi Simba a kiwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam jana.Simba alifikishwa katika mahakama hayo kwa kufunguliwa mashtaka manane yanahusiana na tuhuma za rushwa. PICHA: MPIGAPICHA WETU
No comments:
Post a Comment