Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano:- wa Tanzania, Dkt. Mohammed
Gharib Bilal, akipanda mti wa kumbukumbu katika eneo la Chuo kipya cha
VETA, baada ya kufungua rasmi chuo hicho kilichojengwa Wilaya ya Babati
mkoa wa Manyara. Hafla ya ufunguzi wa Chuo hicho ilifanyika jana Aprili
30, 2012, mkoani Manyara. Picha na Muhidin Sufiani-OMR
No comments:
Post a Comment