Tuesday, May 1, 2012

Katibu Mtenfaji wa Baraza la Mitihani Tanzania Dr Joyce Ndalichako akitangaza matokeo ya mitihani ya Kidato cha Sita katika mtihani uliofanyika mwaka huu. Ambapo Shule 10 bora zilizofanyavizuri ni Marian Girls, Feza Boys,Kisimiri,Kibaha Sec,Ilboru,Mzumbe, Msalato,Tabora Bioys,St Mary's MazindeJuu,Consolata Seminary

No comments:

Post a Comment