Saturday, May 5, 2012

WAANDISHI RUVUMA WACHANGIA DAMU

Mwandishi wa habari mkoani Ruvuma Joaseph Mwambije akitoa damu jana katika hospitali ya mkoa Ruvuma wakati wa siku ya  uhuru wa vyombo vya habari duniani ambapo waandishi wa mkoa huo walifanya usafi katika maeneo mbalimbali pamoja na kuchangia damu kwa watu wenye uhitaji.

No comments:

Post a Comment