Tuesday, May 8, 2012

HUU NI UJIRANI MWEMA

Ushawahi kuoni hiii Ngiri kutoka porini walifanya ziara ya kutemebelea mbuzi ambapo mbuzi waliwakaribisha wenzao kijijini na kula chakula kwa pamoja kati ya mgeni na mwenyeji hii ni kule katika mbuga ya wanyama ya Saadan ambapo mpigapicha wa taasisi ya Under the Same Sun Emmanuel Kwitema alishuhudia ujirani mwema huu

No comments:

Post a Comment