Dr Makongoro Mahanga anena
Mbunge wa Segerea ambaye pia ni Naibu Waziri wa Kazi na Ajira, Dk Makongoro Mahanga akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya Mahamaka Kuu kushinda kesi aliyoshitakiwa na aliyekuwa mgombea wa Chadema ambaye aliiomba Mahakama Kuu itengue ubunge wake.
No comments:
Post a Comment