Tuesday, May 8, 2012

Makamu wa Rais akipanda mti

Makamu wa Rais Dr Mohamed Gharib Bilal akipanda mti wa kumbukumbu katika Shule ya Msingi Mtakatifu Dominic Savio baada ya kuzindua rasmi Jukwaa la Uchumi Kijani linalofanyika mjini Iringa.  Picha Muhidin Sufian OMR

No comments:

Post a Comment