Mheshimiwa Waziri mkuu Mizengo Pinda amekutana na kikundi kinacho jishughulisha na ufugaji nyuki kutoka pemba zanziba kikundi ambacho kinadhaminiwa na mfuko wa maendeleo ya jamii TASAF ambacho kilitembelea katika shamba la mh waziri mkuu lilipo eneo la ZUZU dodoma nakujionea jinsi ya ufugaji nyuki kwa njia ya kisasa ziara hiyo ya mafunzo siku mbili imedhaminiwa na TASAF
|
No comments:
Post a Comment