Tuesday, May 15, 2012

MBUNGE IGUNGA ATOA MSAADA WA PIKIPIKI

Mbunge wa Jimbo la Igunga (CCM), Dk Peter Kafumu (kushoto) akikabidhi msaada wa Pikipiki yenye thamani ya Shilingi milioni 2 kwa mkaguzi wa Jeshi la Polisi Inspektor Edson  Mwamfupa kwaajili Ulinzi shirikishi kwa kituo cha Polisi Tarafa ya Simbo Wilayani humo.makabidhiano hayo yalifanyika kwenye Viwanja vya Ghala la Halmashuri ya mji wa Igunga.

No comments:

Post a Comment