Mwenyekiti wa WAMA na Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akisaini katika kompyuta kuashiria uzinduzi rasmi wa kampeni ya 'Stand up for African women' inayoratibiwa na Shirika la Amref. Uzinduzi huo ulifanyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam
No comments:
Post a Comment