Tuesday, May 1, 2012

RAIA wa Ujerumani, Dk. Jurgen Goebel akionyesha mnara wa kumbukumbu
kwenye makaburi ya Wajerumani na wanajeshi mashujaa 57 waliouwawa
vitani wakati wa vita Kuu ya kwanza ya Dunia mjini Moshi.

No comments:

Post a Comment