JUKWAA LA KATIBA LAWASILISHA MACHAPISHO MBALIMBALI KWA WAZIRI WA KATIBA NA SHERIA
Waziri wa Katiba na Sheria Bw. Mathias Chikawe akipokea machapisho mbalimbali kutoka kwa Bw. Hebron Mwakagenda wa Kamati Ongozi ya Jukwaa la Katiba Tanzania wakati wajumbe wa Jukwaa hilo walipomtembelea ofisini kwake jijini Dar es Salaam leo (Jumatatu, Mei 21, 2012). Wanaoshuhudia ni Bi. Ussu Mallya na Bw. William Kahale kutoka Jukwaa hilo.
No comments:
Post a Comment