| Kocha msaidizi wa Yanga Fred Felix Minziro asema kuwa naye anaudai uongozi mishahara ya miezi mitatu na pia posho mbalimbali ambazo yeye na wachezaji hawajalipwa. hayo ameyasema leo katika mkutano na waandishi wa habari katika hoteli ya Travetine Magomeni jijini Dar es Salaam pia ametishia kubwaga manyanga kuifundisha timu hiyo |
No comments:
Post a Comment