Monday, May 7, 2012

Mzee Mkapa akitoka Mahakama ya Kisutu

Rais Mstaafu Benjamin Mkapa akitoka nje ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ambako alikwenda kutoa ushahidi juu ya ununuzi wa nyumba ya ubalozi wa Tanzania nchini Italia

No comments:

Post a Comment