Wednesday, May 2, 2012

Wafuasi wa Chadema wakipita Makao Makuu ndogo ya CCM_Lumumba

Wafuasi wa Chadema wakipita mbele ya Makao Makuu ndogo ya CCM iliyopo katika mtaa wa Lumbumba jijini Dar es Salaam mara baada ya mbunge wa Segerea Dr Makongoro Mahanga kushishinda kesi yake dhidi ya Frerick Mpendanzoe wa Chadema.

No comments:

Post a Comment