Sunday, June 24, 2012

MSANII wa  kundi la BEST FRIEND akinogesha kundi lake  kutafuta nafasi ya Tano Bora Temeke katika mashindano ya Dance 100 yaliyoandaliwa na EATV katika uwanja wa TCC Club Chang;ombe jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment