Wednesday, June 20, 2012

MAMA MARIA APEWA MSAADA WA FEDHA NA MABALOZI WA AFRIKA

Mama Maria Nyerere akiwa ameshika hundi ya dola 6500 aliyokabidhiwa na Mabalozi wa Afrika waliopo nchini kwa ajili ya kuwasaidia watoto wenye shida katika kijiji cha Bitiama mkoani Mara.

No comments:

Post a Comment