Saturday, June 16, 2012

MKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM AKIWASIKILIZA WANA MULOGANZILA

Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Said Mecky Sadiki akiwasikiliza wakazi wa Muloganzila waliokuwa wanamueleza kuwa hawajatendewa haki na Serlikali kwa kuwahamisha kwenye eneo lao bila fidia.

No comments:

Post a Comment