Monday, June 4, 2012

MBUNGE WA BAHI AFIKISHWA KIZIMBANI KWA TUHUMA ZA RUSHWA

Mbunge wa Bahi kwa tiketi ya CCM,Omar Badwel akifikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akituhumiwa kupokea rushwa ya shilingi milioni moja.

No comments:

Post a Comment