Sunday, June 17, 2012

KAMANDA WILLY EDWARD HATUNAYE TENA

Mhariri Mkuu wa Jambo Leo Willy Edward amefariki dunia mkoani Morogoro ambako alikuwa anahudhuria semina ya Sensa kwa wahariri na waandishi waandamizi. Mwili wake umewasili jijini Dar es Salaam kutoka Morogoro.

No comments:

Post a Comment