Wednesday, June 13, 2012

WAFANYAKAZI WA TRL WAKIIREKEBISHA RELI TAYARI KWA KUSAFIRISHA ABIRIA

Wafanyakazi wa TRL wakifanya marekebisho katika njia ya reli eneo la Tabata wakijiandaa kusafirisha abiria kwa treni kutoka Ubungo kwenda Stesheni

No comments:

Post a Comment