Tuesday, May 1, 2012

Wafanyakazi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili wakishiriki maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani iliyoadhimishwa kimkoa katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam jana.

No comments:

Post a Comment