Saturday, May 5, 2012

Mkulima wa karanga wa Peramiho mkoan Ruvuma

Mkazi wa Kijiji cha Peramiho ‘B’ ambayo akufahamika jina lake mara moja akikusanya karanga alizozianika juani tayari kwa kuhifadhiwa jana, huo ni msimu wa mavuno wa zao la karanga ambao linalimwa katika maeneo mbalimbali mkoani Ruvuma. (PICHA: FRIDAY SIMBAYA)

No comments:

Post a Comment