Wednesday, May 2, 2012

Shule ya Sekondari ya Central Dodoma yafungwa

Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Philipo Mlugo akizungumza na wanafunzi wa shule wa Sekondar ya Central baada ya kuifunga shule hiyo kutokana kutokuwa na sifa jana.(Kushoto) mmiliki na meneja wa shule hiyo Godwin Kigala

No comments:

Post a Comment