Saturday, June 2, 2012

AIRTEL YADHAMINI ONYESHO LA DAR CHORAL SOCIETY

Kikundi cha muziki wa taratibu (classic) cha Dar Choral Society kikitoa burudani katika onyesho la muziki huo lililodhaminiwa na Airtel katika ukumbi wa Makumbusho ya Taifa jijini Dar es Salaam jana.

No comments:

Post a Comment