Wednesday, June 6, 2012

MADEREVA WA VIPANYA GOBA WAGOMA

Baadhi ya wakazi wa Goba wakisubiri usafiri wa kurejea majumbani kwao baada ya madereva wa mabasi kuugoma baada ya kuambiwa wakachukue TLB ili watambuliwe rasmi.

No comments:

Post a Comment