Saturday, June 2, 2012

Mkurugenzi wa Biashara wa Airtel Tanzania, Irene Madeje Mlola (kushoto) akizungumza na baadhi ya watu  waliohudhuria onyesho la kikundi cha muziki cha  Dar Choral Society lililodhaminiwa na Airtel katika ukumbi wa Makumbusho ya Taifa, Dar es Salaam jana.

No comments:

Post a Comment