Muimbaji mashuhuri wa kundi la Mashujaa band Charles Baba a.k.a Kingunge akiwasha moto jukwaani
kuburudisha umati wa wakazi wa Morogoro waliofurika uwanja wa shule ya
msingi uwanja wa ndege kushuhudia uzinduzi wa huduma mpya ya airtel
Supa5 yenye lengo la kutoa huduma tano nafuu za huduma za mawasiliano
kupitia Airtel.huduma hiyo itatambulishwa hivi karibuni katika mkoa wa
Iringa, arusha na Mwanza.
No comments:
Post a Comment