MWENYEKITI WA IPP AKATA KEKI KATIKA CHAKULA CHA USIKU ALICHOKIANDAA KWA WANA IPP
Mwenyekiti Mtendaji wa IPP,Reginald Mengi akikata keki katika hafla ya chakula alichokiandaa kwa wafanyakazi wa makampuni ya IPP katika ukumbi wa Mlimani City. Katikati ni Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa The Guardian Ltd,Abdiel Mengi.
No comments:
Post a Comment