Tuesday, June 5, 2012


Chama cha Wanafunzi wa zamani wa shule yta kimataifa ya Tanganyika (IST), Shamnima Bhallo  ( Kulia) akimkabidhi tiketi ya ndege mwanafunzi Gregory Machura ( wa pili kulia) ambaye amepata ufadhili wa masomo katika chuo kikuu cha Mississipi nchini Marekani, kwenye hafla ya makabishiano yaliyofanyika jijini Dar es Salaam jana. Wengine I Makamu wa Rais wa chama hicho, Hassan Dewji ( wa pili kushoto), baba ya mwanafunzio huyo, Donald Machura na wengine ni walimu  na wafanyakazi wa shule hiyo.

No comments:

Post a Comment