Spika wa
tatu wa Bunge jipya la Afrika Mashariki (EALA) Margaret Banbtonbg Zziwa
(49) kutoka Uganda akitoka
ndani ya Ukumbi wa Bunge hilo
uliopo katika Ukumbi wa Mikutano wa AICC jijini Arusha leo. Zziwa ambaye ni
Mchumi kitaaluma amemshinda mwanamke mwingine kutoka Uganda, Mwanasheria Dora Byamukama
(40) baada ya uchaguzi huo kurudiwa mara mbili baada ya kura za awali
kutokufikia idadi asiliamia 30 inayotakiwa ya wapiga kura wote.(Picha kwa hisani ya Mroki Mroki)
No comments:
Post a Comment