WACHEZAJI WA STARS WAKISUBIRI USAFIRI MARA BAADA YA KUREJEA KUTOKA IVORY COAST
Wachezaji wa timu ya soka Taifa Stars wakiwa nje ya uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere wakisubiri gari la kuwachukua mara baada ya kuwasili jijini Dar es Salaam,
No comments:
Post a Comment