Sunday, June 3, 2012

WANA IPP WAJIVUNIA UMOJA WAO

IPP Oyeee,,, Wana IPP wakifurahi baada ya kujumuika pamoja katika chakula cha jioni kilichoandaliwa na Mwenyekiti Mtendaji, Reginald Mengi katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment