Sunday, June 3, 2012

WANA IPP WAKIJIACHIA KWA MITINDO YA KUDANCE

Raha jipe mwenyewe> Hawa ni wafanyakazi wa IPP wakicheza muziki uliokuwa unaporomoshwa na B Band katika chakula cha jioni kilichoandaliwa na Mwenyekiti Mtendaji wa IPP,Reginald Mengi

No comments:

Post a Comment