Saturday, June 2, 2012

KIONGOZI WA KUNDI LA UAMSHO LA ZANZIBAR

Kiongozi wa Jumuiya ya Maimamu Zanzibar na Msemaji Mkuu wa Jumuiya ya Uamsho na mihadhara ya Kiislamu (JUMIKI), Amir Farid Hadi Ahmed akizungumza na waandishi wa habari, kwa mara ya kwanza tangu kutokea vurugu Zanzibar, katika msikiti wa mchangani mjini Zanzibar.(Picha na Mwinyi Sadallah)

No comments:

Post a Comment