Rais Dkt. Jakaya
Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Wabunge wa Tanzania Katika
Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki baada ya kukutana nao leo Juni 4, 2012
katika hoteli ya Ngurdoto Mountain Lodge jijini Arusha. Wabunge hao wapo Arusha
tayari kwa kikao chao cha kwanza na wenzao wa Kenya,
Uganda, Rwanda na Burundi
kesho ambapo wanatarajiwa kuchagua Spika wa Bunge hilo
pamoja na kuapishwa tayari kuanza majukumu yao
No comments:
Post a Comment