Rais Dkt. Jakaya
Mrisho Kikwete akizungumza na Wabunge wa Tanzania Katika Bunge la Jumuiya
ya Afrika Mashariki baada ya kukutana nao leo Juni 4, 2012 katika hoteli ya
Ngurdoto Mountain Lodge jijini Arusha.Wabunge hao wapo Arusha tayari kwa kikao
chao cha kwanza na wenzao wa Kenya, Uganda, Rwanda na Burundi kesho ambapo
wanatarajiwa kuchagua Spika wa Bunge hilo pamoja na kuapishwa tayari kuanza
majukumu yao.
No comments:
Post a Comment