Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akisindikizwa na Rais Mstaafu wa
Awamu ya Pili Alhaj Ali Hassan Mwinyi (kushoto) na Rais Mstaafu wa
Awamu ya Tatu Mzee Benjamin William Mkapa baada ya kuwa mgeni rasmi
katika harambee ya kuchangia Taasisi ya Mkapa HIV/AIDS foundation na
kusaidia kukusanya shilingi bilioni 3.2 nauvuka malengo ya harambee
hiyo kwa asilimia sita
No comments:
Post a Comment