Wednesday, June 6, 2012

Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA) kutoka Tanzania, Angela Charles Kiziga akila kiapo cha kulitumikia Bunge hilo juzi, Juni 5, 2012 katika Bunge la Tatu la Afrika Mashariki lililoanza mjini Arusha katika Ukumbi wa Bunge hilo uliopo katika Jengo la Mikutano la Kimataifa AICC. (Picha kwa hisani ya Mroki Mroki).

No comments:

Post a Comment