Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki
(EALA) kutoka Tanzania, Charles Makongoro Nyerere, akila kiapo cha kulitumikia
Bunge hilo juzi, Juni 5, 2012 katika Bunge la Tatu la Afrika Mashariki
lililoanza mjini Arusha katika Ukumbi wa Bunge hilo uliopo katika Jengo la
Mikutano la Kimataifa AICC. (Picha kwa hisani ya
Mroki Mroki).
No comments:
Post a Comment