Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki
(EALA) kutoka Tanzania, Shy-Rose Banji akila kiapo cha kulitumikia Bunge hilo
juzi, Juni 5, 2012 katika Bunge la Tatu la Afrika Mashariki lililoanza mjini
Arusha katika Ukumbi wa Bunge hilo uliopo katika Jengo la Mikutano la Kimataifa
AICC. (Picha kwa hisani ya Mroki Mroki).
No comments:
Post a Comment