Rais Jakaya Kikwete, akimkabidhi picha ya kuchora
Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya UNDI Consulting Group Limited, Bw
Philip Makoka aliyoinunua kwa shilingi milioni 20 wakati wa Harambee ya
kuchangia fedha programu ya Mkapa Fellows inayoendeshwa naTaasisi ya
Mkapa HIV/AIDS iliyofanyika Dar es Salaam kwenye hoteli ya Kilimanjaro
Hyatt Regency jijini Dar es salaam. Kulia ni mchoraji wa picha hiyo,
Bwana Muzu
No comments:
Post a Comment